HADITHI YA KATOPE
Wazee wawili, Bwana na Bibi Mgogo, hawakujaaliwa hata mtoto mmoja. Katika saa za lala salama za umri wao hawana mtoto maisha yao yanakuwa ya huzuni lakini ndoto inabadilisha maisha yao wanapata mtoto kwa njia ya ajabu Je ni njia ipi hiyo? na nini kilimpata mtoto huyo baada ya kutosikia la mzazi…!